Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Ah ah ah ah kulalekMhhh
Basi tuachane nae.
Tutafute mwingine....wewe huko katika kupuyanga kwako hujapata aliyekuwa anafanania na mtalaka MO11?
Mdogo sana.Hapana, we bado mtoto.
Ulikua umeniambia nn?Walah tena
Hapo Bod inakujadili omba mungu wakupitisheDaaahh wananipiga madongo tu
Tutambemenda.Mdogo sana.
Hatufai hata kidogo
Ndioooooooo kiongoziHapo Bod inakujadili omba mungu wakupitishe
Utakuka pesa za pensen za yule mzeee MO11
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaposema mie mdogo unamaanisha sina pesa auTutambemenda.
Hata ex wetu alikuwa mdogo ujue!!!Hapo ndio tunapo kosana hayo mambo ya mdogo na mkubwa hapana
Ndio mana hao wazee wanawalizaaa
Chukua dogo dogo stars
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza hana pesa....Mbona unamchimba sana mwenza wangu?
Mtt ndio mzur mnakuwa mnamfuga kama kuku akiwa wazingua mnamtia mikwenziMdogo sana.
Hatufai hata kidogo
Kumbe jibu unaloUnaposema mie mdogo unamaanisha sina pesa au
Mo bado mbichi sana hajafikia pensheni.Hapo Bod inakujadili omba mungu wakupitishe
Utakuka pesa za pensen za yule mzeee MO11
Sent using Jamii Forums mobile app
Ah ah ah hii comemt kama inanihusuYupo mmoja huyo yaani ni bonge la bonus, ngoja nitakwambia.
AkhaMtt ndio mzur mnakuwa mnamfuga kama kuku akiwa wazingua mnamtia mikwenzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu? Kwani una matumizi na sisi?
Hela zinatafutwa zikipatikana tutakula raha pamoja. UsiogopeKumbe jibu unalo
Muoneeeee
Au...Unaposema mie mdogo unamaanisha sina pesa au