Asanteeeeeeeeeeeeeee
Wouzeeeeeerrrr[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Unaujua ukweli wangu na inatosha babe huihitaji mtu mwengine aprove kwako zaidi yangu labda wewe mwenyewe, am yours na huna share na mtu i know you trust me na kwangu inatosha, babe nakupenda.
Agiza kinywaji unachokunywa bill ije kwanguHivi hamjui kuna kupendana na kuachana??? Halaf s jambo geni kuachana na mtu hamjui ilikuaje tukaamua kuachana, eleweni me na yeye we are no more. Nina haki ya kufanya chochote ili mradi nisivubje sheria za jf na nchi hii, yes nina haki ya kupenda na kupendwa tena baada ya kuachana na ndio hivi
Sina share holder...Unataka niwe nayo?
Waliokuwa wanaanzisha wapo likizo ya uzazi. Nianzishie basi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani nawe shareholder?
Hivi mbona huanzishiwi siredi siku hizi? Nyota amekwenda wapi?
T mamboMzee baba...
Ni wewe ama account yako imekuwa hacked? [emoji41][emoji41]
Nipo hapa babeAmbae hajawahi kuandikiwa maeno manono na matamtam akuje tufarijiane na sisi kwa kuandikiana,..lol[emoji28]
Si ndio hapo sasa!!!
Ili muache hizo tabia zenu za ubahili ubahili
Mdogo wangu...achana na wanaume wa humu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nipo hapa dear hata sijui nani atakosea japo kuniandikia walau mistari miwili lol
Sent using Jamii Forums mobile app
Unanicheka eeeh...nitamwaga radhi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Woyooooooooo anko wangu huyo
Tupo na thread yenu ebu tuacheni jamani tupo tunaleahatari sana shemela ile siku sisahau
Unafinyia kwa ndani dyudyuHahahahaa,. Halafu natamani kujua hii kitu jamanii "kufinyia kwa ndani"
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ningejua mama si ungeshaona nimefunguliwa siredi humu. Nami nyota ya bundi kama wewe tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] NakojoaaaaaaaaaShosti Daby kaniambia nije kwako Fundi wa kufinyia mambo kwa ndani,.nijuze tafadhali[emoji3]
HejejejeeWew mi nikikutaka nakuja pale kino fasta tuuu nakubeba msoba msoba
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila la heri mama angu achana na ya wana wa adam fanya vile moyo wako unapendaMy dear mahondaw, kabla hujanambia tuee makini zaman nishajua na naona sababu mengi yametokea humu meyaona mengine yalinikumba lakini mwisho wa siku maisha yanaendelea, mimi binafsi sijali chochote, sijali mtu yoyote atakachoongea, nampenda nilekua naye tena nampongeza haswa had leo tumefika hapa haikua kazi rahisi, na hakukata tamaa, yote n maisha najifunza bado tunajifunza kwa pamoja, ninachozingatia unapoanguka kokote kule nyanyuka jipanguse mavumbi songa mbele ndio hikimefanya, inshallah Allah atupe kila lenye heri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani mnakutwaga na nini jamani!!!!
Maana wengine wazushi tu, kama huyo shosti yako kujifanya tunamtongozea bwanake bila hata haya!! Nilimind kweli aiseeee!!!