Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Eeeeh makubwaaaaHii mada nyingine kulalek
Ebu zimwageeeee ah ah ah ah ah
Sasa iv naenda kulala namfuta espy
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji91] [emoji91] [emoji91] unachoma mpaka id[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hakuna cha private BabaHaya mambo tutayaongea private hapa si mahala pake kabisa
Kuna watu humu hawanitakii mema
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sasa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] amekazana kuita tu
Umeona eeeeeeeHahaha usiniambie yeye anamwaga ugali unamwaga mboga woiiiii[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wozeeeeeer yani usinikumbushe mwanaume mwenye mihelaaa mifaranga kama rafiki yanguTenyaaaaaa.......
Mwanaume akiwa na pesa, anaweza uhamisha mlima Kilimanjaro akaupeleka Moro
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma atusimamie, tunakupenda pia dada
Ulikuwaga wapi
Umempeleka wapi rafiki yangu nimemmiss wallah siyo kwa kumficha hukooMadame S hongera kupendwa na mwanaume raha sana.
Ila humu kuna watu na pesa bhana.Wozeeeeeer yani usinikumbushe mwanaume mwenye mihelaaa mifaranga kama rafiki yangu
Cc mtu chake
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa hakuna mm nina mpaka pm za walokoleeee[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]Umeona eeeeeee
Hakuna mtakatifu atakayebaki Jf
Halafu wanaume makapuku yasiyo na hela jf kutwa yanatunanga yakikujua basi na suraa woiiii utakoma kutwa kucomment Demiss unakaa site 3 Dodoma mxeweewIla humu kuna watu na pesa bhana.
Kuna wawili hao......yaani ni balaaaaa.
Sio hawa puruchumtupu hawaungi hata mchuzi