@Ambiele kiviele njoo tuchat bhn acha kulike comment mm nakupendaje hujui tu njoo tukesheHahahahah
Dadeki......chezea waja wewe.
Basi wanaume dizaini hii anaweza kimbia na bill asilipe. Looh
Ndio nalala mama usiku mwema
Weweeeeeee.....leo huku.Anasoma comment na akija pm nimefunga sijui ananichamba wapii woiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji55]my friend Ambiele
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja niongeze sauti aje na wale wazeee wenzieeBabe wangu Wick uko wapi jamani uje ucopy mistari
Ewaaaaa
Jaman umeona kanitumia vocha hazijakwanguliwa yani acha tu ananinyanyasa huyu mtuuu sijapata onaaaaWeweeeeeee.....leo huku.
Ila Ambiele Kiviele we kweli ndezi, unamuogopaje mwanamke?
Dah!!!
Da'Vinci njoo umlipie deni la vocha ndugu yako huku
Kumbe na wewe uko na ex humu??kwanini nifanye hivyo pacha?? utani ulikuwa kwa @aisha2016
Hivi ni msukuma eeehEwaaaaa
Ebu niitie jamani nimemmiss msukuma wangu
Thanks sis, nasi pia tunakupendaNa wewe pia kaka angu, mlale salama huko nawapenda sana
Asante kwa kunitag nimejionea mwenyewe