Kama. Hujui radha ya ziwa nililonyonya basi huna kigezo cha kuitwa DadaSi unaweza kunisimulia, kwani lazima niijue? Ndio unite Dada?
Nakukabidhi Da'Vinci hakikisha anaondokewa na hilo pepo la Woga.Mkuu, kiukweli jf kuna wanawake poa na wanajiheshimu sana kama utabahatika kujiona nao nje ya jf.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitaweka wazi kitu kisicho exist?Anataka sana basi tu haujamshikilia vizuri.
Naomba nijitulize kwakoNakukabidhi Da'Vinci hakikisha anaondokewa na hilo pepo la Woga.
Hayo ni maneno tu chief.....Nawapataje wakati wanavyopenda mue sina..
Basi mimi itakua ngumu kuwaona. Kila nayewasiliana nae ni meHayo ni maneno tu chief.....
Humu ndani wanapatikana, hata kama hauna hela nakuambia amini
Sent using Jamii Forums mobile app
Kafanyaje?
Tena hapaswi kuwa muoga kabisa, maana humu jf pia wapo wenye mahitaji sawa na wahuku kitaa penye tunaishi.Nakukabidhi Da'Vinci hakikisha anaondokewa na hilo pepo la Woga.
Uyu mtt ni wa kuadhibiwa katika lindo la leoUnamwona anatuletea sitaki nataka ....
Mara nawaogopa, Mara sitaki kuyaweka wazi...
Shauri yake atakosa kote
kama huyu wanguTena hapaswi kuwa muoga kabisa, maana humu jf pia wapo wenye mahitaji sawa na wahuku kitaa penye tunaishi.
Na, hawezi amini jf ina watoto visu na wenye upendo wa dhati kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona Hutaki niwe Dada yako....basi tena...nitatafuta kaka sehemu nyingineKama. Hujui radha ya ziwa nililonyonya basi huna kigezo cha kuitwa Dada
Naomba Mungu anikutanishe nae hata mmoja.m.Tena hapaswi kuwa muoga kabisa, maana humu jf pia wapo wenye mahitaji sawa na wahuku kitaa penye tunaishi.
Na, hawezi amini jf ina watoto visu na wenye upendo wa dhati kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
HayaNaona Hutaki niwe Dada yako....basi tena...nitatafuta kaka sehemu nyingine
Naogopa kusutwa....Naomba nijitulize kwako
@Ushimen bhanaHayo ni maneno tu chief.....
Humu ndani wanapatikana, hata kama hauna hela nakuambia amini
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu tumia falsafa yangu mkuu, wala hautojuta.Basi mimi itakua ngumu kuwaona. Kila nayewasiliana nae ni me