Umeanza vizuri, umekuja kuharibu mwishoni kabisa na hizo emoji...Njoo uijaze wewe, maana nipo taabani juu ya uwepo wako..... na hapa hata kuhema siwezi sababu moyo wangu umeuchukua....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
Changamsha macho [emoji23][emoji23][emoji23]aisee nimecheka sijui kwa nini
Mmmmmh!!!Misipendwi humu mkuu, tena hawanitaki kabisa kwasababu ya liavatar langu libaya....tehteehh
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina sababu ya kumtag kwasababu tunatumia ID hii mojaasante mkuu, tumebarikiwa....mbona hujamtag mkeo??
Mheshimiwa mjumbe nakuona ushatia timu kitambo hapa
Speaking from experience eeeh!!!Tena hapaswi kuwa muoga kabisa, maana humu jf pia wapo wenye mahitaji sawa na wahuku kitaa penye tunaishi.
Na, hawezi amini jf ina watoto visu na wenye upendo wa dhati kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Waweka kopa ni wapaka poda mkuu....Umeanza vizuri, umekuja kuharibu mwishoni kabisa na hizo emoji...
Ungetupia kopa kopa nisingekua hapa najibu hii msg.
[emoji7][emoji7][emoji7]Waweka kopa ni wapaka poda mkuu....
Sisi wanaume wenye uzito wa sura, huwa hatuna kuremba
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, ndio naskiaga vijana wa .com wanasema hivyoChangamsha macho [emoji23][emoji23][emoji23]aisee nimecheka sijui kwa nini
Bahati unayo ila hujataka kutumia.......Sisi wengine hatuna bahat kabisa yan watoto wazur tunabaki kuwaita mashemeji
Sent using Jamii Forums mobile app
KulalekNjoo uijaze wewe, maana nipo taabani juu ya uwepo wako..... na hapa hata kuhema siwezi sababu moyo wangu umeuchukua....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi lee ulimpeleka wapi?
Nipo hapa ndugu mjumbe....[emoji12] [emoji12] [emoji12]Mheshimiwa mjumbe nakuona ushatia timu kitambo hapa
Nachekea tumbooo ah ah ah ahUmeanza vizuri, umekuja kuharibu mwishoni kabisa na hizo emoji...
Ungetupia kopa kopa nisingekua hapa najibu hii msg.
Nawe unajishusha akipanda?[emoji85] [emoji85]Nukuu
'' Huna mapenzi ya kupima mapenzi ya upande mmoja unanipa muda wako, hukawii kujishusha kama nikipanda"
Mimi kama mpenzi mtazamaji hii nukuu nimeielewa barabara[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Lipi hilo mkuu, maana humu jf nakumbuka nimesha kuwa na vimavi heavy kama 4 times. Na hiyo ukiachana na zile ndogo ndogo ambazo zilihitaji jicho la 3 ili kushtukia picha....tehteehh.[emoji23] [emoji23]Speaking from experience eeeh!!!
Hivi nawe lile timbwili lako liliishiaga wapi?
Mie hata sijui kwakweli, nioistuka tu simuoni.Kwa uzoefu wako humu jukwaani, hili swali haliwezi kukutatiza kiasi hicho