Lyceum JF-Expert Member Joined Oct 1, 2009 Posts 1,046 Reaction score 568 Jan 27, 2012 #2 Ungetuwekea maswali yote tungekuwa na wigo mzuri wa kuchangia. Hilo ni swali moja hayo mengine yako wapi? Hiyo aina ya maswali inakubalika inapochanganwa na nyingine. Weka maswali yote hapa mkuu
Ungetuwekea maswali yote tungekuwa na wigo mzuri wa kuchangia. Hilo ni swali moja hayo mengine yako wapi? Hiyo aina ya maswali inakubalika inapochanganwa na nyingine. Weka maswali yote hapa mkuu