Toa maelezo kwenye picha hii ya kijijini Kwetu

Toa maelezo kwenye picha hii ya kijijini Kwetu

Hiyo nzuri kweli, watoto wetu are missing alot! you can not compare this with video games
 
Inafurahisha kweli. Watoto hawa kuwafundisha structural analysis au structural dynamics hupati shida kabisa!
 
@ SMU na Madam X kweli kabisa ni misingi ya nchi hii mibovu tu hawa watoto wangeendelezwa katika elimu bora wangefika mbali sana. Hawa siajabu hata fm 2 wasifike
 
Tatizo watoto wa mjini hawana maeneo ya kuchezea, viwanja vyote vya wazi watu wamejenga nyumba...! Wacha video games zichukuwe nafasi.
 
@ SMU na Madam X kweli kabisa ni misingi ya nchi hii mibovu tu hawa watoto wangeendelezwa katika elimu bora wangefika mbali sana. Hawa siajabu hata fm 2 wasifike
siyo kufika form 2, haa kumaiza darasa la saba ni issue!!! Hivyo ndivyo tulivyokuwa tunafaidi utotoni...
 
Sijui kasimu kangu kimeo nikishachangia thread sioni tena mwendelezo ila juu hapo inanionyesha kuna post ila nikiingia ndani sizioni
 
Tanzania hatuna utamaduni wa kuendeleza vipaji.....na hili linatoka majumbani kwetu mpaka selikarini, mzazi mwenye mtoto mbunifu namna hii mwulize anampango gani wa kumfanya mtoto wake huyu awe engineer? jubu halipo.... mimi nilikuwa mcheza mpira nilipo kuwa mdogo nanilikuwa nacheza vizuri sana lakini babayangu alinikatalia kabisa na nilipo umia sikutibiwa haraka ili nipate mateso nisirudi tena kiwanjani kwa hofu ya kuto tibiwa nikiumia.Matokeo yake leo nashughulika na mambo tofauti kabisa na kipaji changu,wangapi wamepoteza vipaji kwa njia hii? na pengine sahizi timu yetu ya taifa ingekuwa imeshikilia kombe ladunia chini ya kereng'ende
 
Engineering at work.
Japo ni gari la miti Design yake imeinclude principles zote za engineering hasa katika kuresolve forces nyingi zitokanazo na shock, stress ,turning pulling and pushing. HII NAWAPA 100%
Angalia usukani una vibao viwili mfano wa V ili kuupa strength. ANOTHER 99%
Kuna Polygon shapes nyingi kuipa car body's strength. 100%
Plae nyuma kwenyeEXSELI naona nguvu imeongezwa kwa kustack mbao kwa umbo la inveted pyramid.HII PIA 100%
Hiyo ndo engineering.
 
siyo kufika form 2, haa kumaiza darasa la saba ni issue!!! Hivyo ndivyo tulivyokuwa tunafaidi utotoni...

unajuwa hao watoto wanajalibu kuona ni jinsi gani wanaweza kucheza na wenzao, mchangiaji uliyesema vipaji haviendelezwi nakupa tano, hapo wachezapo ni zaidi ya hizo video game, kwanza ni wabunifu. ila sema watz hatuna utamaduni wa kuendeleza vipaji vya watoto wetu na pia mazingila ya watoto kucheza yamegeuzwa maeneo ya vigogo kufanyia biashara zao na shughuli zingine ambazo si faida kwa jamii.
 
Engineering at work.
Japo ni gari la miti Design yake imeinclude principles zote za engineering hasa katika kuresolve forces nyingi zitokanazo na shock, stress ,turning pulling and pushing. HII NAWAPA 100%
Angalia usukani una vibao viwili mfano wa V ili kuupa strength. ANOTHER 99%
Kuna Polygon shapes nyingi kuipa car body's strength. 100%
Plae nyuma kwenyeEXSELI naona nguvu imeongezwa kwa kustack mbao kwa umbo la inveted pyramid.HII PIA 100%
Hiyo ndo engineering.

Well said mkuu, lile somo la sanaa mashuleni lirudishwe ili vijana wetu wajifunze na kushindanishwa katika nyanja kama hizi na kuwa support katika kufikia malengo yao na kuijenga nchi
 
Watoto wametengeza bajaji, safi sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!
nawapa 100% kwa kuanza ku- practice engineering wakiwa bado wadogo...
 
Innovation @ WORK - Siyo kukaririshwa Darasani na kujiita Eng.Obuntu kumbe hata kushika screw driver huwezi!
 
Inafurahisha sana laiti tungekuwa tunagundua hivi vipaji vya watoto mapema hivi na kuvitumia Tanzania ingekuwa mbali..Hawa wanatakiwa wakasomee masomo ya Engineer Science...Wataalamu wa Kesho hao ...hofu ni kwamba wanaweza ishia njiani!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom