siyo kufika form 2, haa kumaiza darasa la saba ni issue!!! Hivyo ndivyo tulivyokuwa tunafaidi utotoni...@ SMU na Madam X kweli kabisa ni misingi ya nchi hii mibovu tu hawa watoto wangeendelezwa katika elimu bora wangefika mbali sana. Hawa siajabu hata fm 2 wasifike
siyo kufika form 2, haa kumaiza darasa la saba ni issue!!! Hivyo ndivyo tulivyokuwa tunafaidi utotoni...
Engineering at work.
Japo ni gari la miti Design yake imeinclude principles zote za engineering hasa katika kuresolve forces nyingi zitokanazo na shock, stress ,turning pulling and pushing. HII NAWAPA 100%
Angalia usukani una vibao viwili mfano wa V ili kuupa strength. ANOTHER 99%
Kuna Polygon shapes nyingi kuipa car body's strength. 100%
Plae nyuma kwenyeEXSELI naona nguvu imeongezwa kwa kustack mbao kwa umbo la inveted pyramid.HII PIA 100%
Hiyo ndo engineering.