Toa maelezo kwenye picha hii ya kijijini Kwetu

Inaitwa Bagadu hiyo

Zile kubwa zinabeba sana mizigo

Vp Nguli ndo usafiri wenyewe wakuingilia kule milimani?
 
Hiyo gari iko very creative.. Ila sithani kama design ni ya hao watoto.. Nahisi wamepata msaada kidogo..
 
Inaitwa Bagadu hiyo

Zile kubwa zinabeba sana mizigo

Vp Nguli ndo usafiri wenyewe wakuingilia kule milimani?

Kule tunatumia Stout na landrover 110
 
Watoto wetu ni wabunifu sana ila basi tu umasikini tunauendekeza.
 
Nidhamu ndio inawafanya wafurahi hivi,wanaimani kuwa wote ni wa moja,hawabaguani kijijini tofauti na huku,kuna wale wa english media na upe na ujenzi,kijijini bana yaani hata ukitaka kuchumbia,mchumba anakupa shikamoo hata kama mpo sawa,tamu kwelikweli!!
 

Ha ha ha ha aha ha ha mbavu zangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…