Toa Maoni kuhusu hili:

Pelham 1

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
548
Reaction score
99
Hivi ni kwa nn Madada zetu ama Mabinti wameingiwa na kasumba ya kutojikubali maumbile yao nakukimbilia kuyaongeza?
Unafikiri ni kwani wanafanya hivyo? Katika utafiti wangu wa maoni: Kuna baadhi yao wanadai Wanaume ndio chanzo tunayapenda sana ndio maana wanayaongeza kutuvufutia!!!.
Je wanajua madhara yake mbeleni ama ndio ilimradi tu sisi tunalizika na kuvutikaaa...?
Toa maoni ama Ushauri kuhusu hili:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…