Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama itakuwa ya siri so long ccm ni majority kwenye mchakato huu, daima tutashinda tuMaccm yanatisha wenzao, iwe ya siri, maana yapo tayari hata kuuwa haya majitu.
Dah! Mawazo yako yanaacha maswali mengiKwanini isiwe wazi tuone nani jasiri? haha
Iwe siri tu kila mtu afanye anavyotaka
Mkuu, Rasimu ya pili ya kanuni imekamilika na kinachoendelea sasa ni wajumbe kupitisha vifungu vya rasimu hiyo ambavyo vipo 87. Kwa sasa wamepitisha vifungu 10. Hoja ya kura ya siri au ya wazi ipo kwenye vifungu vya 37 na 38Hivi kwani hili suala limeishia wapi jamani maana jana ndo walikuwa wanakamilisha rasimu ya kanuni za bunge la katiba
cc yoyote mwenye taarifa
Hao wajumbe wengi umewapata wapi? Au unazungumza wengi wanaoropoka?Kura ya siri ndio sahihi na kwa kunusa halo ya hewa ndani binge wajumbe wengi wanataka Kura ya siri