Afadhali choo hiki kuliko vile vya majengo ya clubs za Simba na Yanga! Yaani kile cha simba walionyesha juzi wakati mwenyekiti wao mpya akilikagua jengo nilipata kuugua tumbo na kushindwa kula!!! Sikuweza kuamini kuwa ni choo au shimo la taka!!! Kweli ustaarabu Tanzania ni mgumu sana!!!
Matokeo ya mitihani ya darasa la saba yataendelea kuwa mabaya siku hata siku. Pia vyoo hivyo vitakuwa vichafu sana kiasi kwamba hawaingii ndani! Haya ndio matunda ya term ya kwanza ya JK!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.