GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Katika Hali Isiyokuwa Ya Kawaida Na Pia Ni KITUKO Kama Siyo KICHEKESHO Cha Kufungulia Mwaka Leo Timu Mbili Kubwa Na Kongwe Hapa Nchini Tanzania Kama Siyo Afrika Mashariki Nzima Simba Na Yanga Kwa Pamoja Zimepoteza Michezo Yao Ya Nusu Fainali Ambapo Simba Imetolewa Na Mtibwa Sugar Jioni Na Muda Si Mrefu Yanga Nao Wamekula Za Uso ( Wametolewa ) Kwa Kufungwa Na Timu Dhaifu Mno Mashindanoni Ya URA Ya Nchini Uganda.
Mara Baada Ya Timu Hizo Mbili Kubwa KUFUNGWA Leo Kuna Tambo au KEJELI au UTANI Unaoendelea Sasa Ambao Nitauweka Hapa Ili Wote Kwa Pamoja Tuzijadili Na Tuweze Kuona Ni Timu Gani Hasa Zinaguswa Nazo au Zinastahili Kupokea Hayo Madongo.
A. Kuna Wanaosema " Siku Zote Majambazi Wakivamia Nyumbani Kwako Na Kukukuta Wewe Na Mkeo Huanza Kwanza Kumuua Mume Kwakuwa Huwa Anakuwa Na Madhara Makubwa Kwao Kisha Baadae Hummalizia Mkeo " HAPA WAKIMAANISHA KUWA KWAKUWA SIMBA SPORTS CLUB ILITOLEWA LEO JIONI HIVYO HATA YANGA INGETOLEWA TU NA YENYEWE HII JIONI KITU AMBACHO KIMETOKEA KWELI.
B. Kuna Wanaosema " Siku Zote Mwanamke Mzuri Hupenda Kujipendekeza Na Kujitongozesha Mwenyewe Kwa Mwanaume Tajiri Hata Kama Hatakiwi " HAPA WAKIMAANISHA KUWA BAADA YA YANGA KUONA SIMBA IMETOLEWA ILE JIONI NA WAO KWA KUWA NA MAPENZI YA KUJIPENDEKEZA KWA SIMBA BASI NA WAO WAKAFANYA KILA WAWEZALO ILI WAFUNGWE NA WAWEZE KUMFUATA WAMPENDAE.
C. Kuna Wanaosema " Siku Zote Mbwa Akimwona Nyoka Aina Chatu Porini Hujipeleka Kuliwa Kwakuwa Chatu Huwa Anamvutia Kwa Mambo Mengi Na Mbwa Hujikuta Tu Ana Mahaba Yaliyopitiliza Kwa Nyoka Aina Ya Chatu " HAPA WAKIMAANISHA KUWA KWAKUWA YANGA WALIGUNDUA KUWA SIMBA KESHAFUNGWA ILE JIONI HIVYO NA WAO WAKAFANYA JUU CHINI ILI TU WAFUNGWE NA JUMATANO IJAYO WAJE KUKUTANA NA KIPENZI CHAO KISHA WAFUNGWE KIULAINI.
Je Ni Tambo Ipi au Utani Gani au Kejeli Ipi Hapo IMESTAHILI Na IMEGUSA MAHALA Pake? Je Kuna Ukweli Wowote Wa Kimazingira Kutokana Na Hayo Maneno Ya Kiutani Matatu A,B Na C Yaliyoorodheshwa Hapo Juu.
Karibuni.