Toa maoni yako kuhusu picha hii

Marekani Ni mnafiki Sana na Ni mwoga. Katika jumuia ya NATO, Marekani Ni Nchi ya mwisho kwa idadi ya misaada ya kivita Dhidi ya Urusi. Yeye Ni mchochezi tu. Maneno matupu yamalizi vita. Kama Biden Ni mwanaume kwanini asi_supply silaha nzito na za kisasa kwa Zelensky? Ana kazi ya kuchangia silaha zilizopitwa na wakati. Mjerumani ndiye msaada wa kweli kwa Ukraine
 
Donald Trump Ni mmoja Kati ya viumbe wa hovyo Sana kuwahi kuzaliwa America
 
Lakini umeisikiliza kwa makini hotuba ya Zelensky alichokuwa akikieleza huko Marekani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…