MICSIMON
Member
- Jan 6, 2013
- 41
- 13
kuna dogo mmoja anaomba ushauri kapata alama zifuatazo katika mtihani wa NECTA mwaka jana.,,,phy c,chem c,bios b,geo c,kisw b,b/maths b,civ d ,history e,engl c ,na ana div 3 ya 25,wana jf mnamshauli nini TILILIKA HAPO CHINI KAMA HUNA KINYONGO NA WATANZANIA WENZAKO