Niko mwaka wa tatu, nimetuma paper yangu kwa conference moja huko Italy, wameikubali, wanataka nijiandikishe kwa kulipa EURO 360, then niende nika present paper. Hivi gharama za maisha huko zikoje? Wao ndio watalipia living expenses au mimi mwenye?
Sikutaka kuwauliza haya maswali wao, nimeona niwaulize wakongwe mtoe maoni kutokana na experience zenu.