You will never walk alone Mkuu! Hata mimi nahisi kusinziaNtarudi kesho asubuhi!
<br />jamaa alipigiwa simu na demu <b>akaambiwa nn??</b> mbona unatuweka makengezani?? kama hakuna editing hapo, czani kama kina kitu anangojea
,Kuna jamaa alipigiwa simu na mwanamke wakati wamepumzika na mkewe. Jamaa alimjibu uyo mwanamke ntakutafuta baadae. Mkewe akahoji ni nani uyo? Jamaa akajibu ni mjinga flan na ni demu wa rafiki yangu alimpa number yangu. Ungekuwa wewe ni mke wa jamaa uyo ungejickiaje au umefanyiwa ivyo ungehic nini