Kumbe Wewe Huelewi Kabisa,unashindwa Kujua Haya Makosa Ndio Yamesababisha Wengine Wakose Nafasi? Hawa Wanafunz Wilaya Zima Walopelekwa Arts Hujui Kuwa Wengine Walikuwa Sayans Na Hivyo Arts Wangechukuliwa Hao Waliobakia? Mwanafunz kapelekwa shule ya kike nayeye ni mvulana wewe unasema tuvumilie? HAKUNA JINSI NI LAZIMA WARUDI WAKALE MATAPISHI YAO.