Toa msaada ila usisaidie sana

Toa msaada ila usisaidie sana

Naja naja

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2016
Posts
747
Reaction score
1,454
Binadamu hawaridhiki, ukiwasaidia sana wataona watageuza msaada kuwa jukumu lako, siku ukikosa wataanza kukunanga kwamba unaringa, una roho mbaya.

Chunga sana kusaidia saidia mara kwa mara.
 
Back
Top Bottom