Toa shotout kwa memba unayemkubali

shout out kwa viongozi.wafanyakazi.wanachama na wapenzi wote wa JAMII FORUMS.
Nawakubali wanaume wote wa humu na NAWAPENDA wanawake wotee wa humu
 
Shadeeya
Mimi huwa napenda jina hili huwa natulia na kulitaja taratibu kwa sauti ya chini. Naikubali sana hii username ya huyu mkuu.
Hahahaaa. Ahsante Mkuu. πŸ™

Nimecheka eti huwa unaitaja taratibu tena kwa sauti ya chini. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Shout out kwa wanasiasa wetu uchwara wote hapa Tanzania haswa Zitto Kabwe, Lissu, Membe, Lema, Mdee na demu wake Esther Bulaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…