Toa shotout kwa memba unayemkubali

Uzuri wa hapa wanaokubaliwa hapa ni wadada tuu.
Mngejua ni wake za watu wala msingewafagilia kiivyo ila ndio hivyo basi ishakua jinsia pendwa.
Basi na mimi nisibaki nyumba nichukue nafasi hii kati ya wadada ninaowakubali kama sio kuwapenda moja wapo ni Paula Paul kama sio mchawi sijui maana sio kwa kupendwa huko na kila mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah, hata mimi namkubali sana.
Natamani niwe quarantine moja na yeye ya siku 30.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini huyu baba kashaoa. Unapenda kuwa mke mwenza wa Janeti?
mkuu mbona unakua na maneno mazito hivi!? unajua katika member ambao hua naona akili zao na umri wao ni inversely proportional ni wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…