Toa stress zako hapa: Uzi maalum kwa ajili ya kutoa stress zako....(hasira, maudhi,uwoga....)

Venus1992

New Member
Joined
Sep 5, 2018
Posts
1
Reaction score
39
Wengi wetu tunapitia changa moto nyingi sana katika maisha, mda mwingine tunakosa kabisa watu wa kutuelewa....share stress zako...uwezi jua maoni ya watu wengine yanaweza kukupa majibu.....

[emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484]

Comments: Karibuni
 
Anza wewe, tutakuelewa tu.
 
Stress zangu ni kutokipata Gal was Jf mwenye roho nzuri anisaidie hats urafikiii
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kaka kwenye harusi yangu lazima uje ... Tena usimamie kamat ya chakula ... Kama ni tiket ya ndege ntakutumia .... Wewe na mumu na haka kadogo Da vinci ... Maana ulivyomjibu jamaa hahaha unafaa sana usiniangushe bro
 
Dogo swalehe atakuwa kwenye kamati ipi?

Hapo suala la harusi utakuwa umeepusha maswali ya hovyo kwa Dogo swalehe, kama vile ''Baba/mama siku ya harusi yako mimi nilikuwa wapi?"

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hahaha dah kaka ... Hahaha swalehe yaan sijui tumweke wapi ila tumechoka maisha ya kuish kigheto gheto ndo nmeamua kuoa ... Nyumba kubwa ... Hafu tupo wawil tunacheza ma game ya ps acha tu ... Nimpate mmoja ... Atutolee stress atuletee na kadogo ka swaleh
 
Itakuwa jambo jema sana mkuu, andaa chopa ya kuja kunichukua huku Gambushi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Manz mmoja hivi texas tulkua tunapiga nae neuro ... Usiwaze lazima uje mkuu ... Kama ni kipapatio kimoja ni kimoja tu tena nkikuweka na swalehe ye badala ya kimoja anatoa nusu ... Itapendeza mno. NB# mimi ni mtu nayejulikana usiwe na shaka
 
Shaka lazima iwepo maana bado haijawa scientifically proved[emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom