Anza wewe, tutakuelewa tu.Wengi wetu tunapitia changa moto nyingi sana katika maisha, mda mwingine tunakosa kabisa watu wa kutuelewa....share stress zako...uwezi jua maoni ya watu wengine yanaweza kukupa majibu.....
[emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484]
Comments: Karibuni
Kama una stress, Pitia hapa! Usiache kutupia na wewe maneno yako! - JamiiForumsWengi wetu tunapitia changa moto nyingi sana katika maisha, mda mwingine tunakosa kabisa watu wa kutuelewa....share stress zako...uwezi jua maoni ya watu wengine yanaweza kukupa majibu.....
[emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484]
Comments: Karibuni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Dogo mwifwa una dhambi kinom Hahaha dah .l
Ngoja nkwitie miss natafuta ... Sijui ni demuStress zangu ni kutokipata Gal was Jf mwenye roho nzuri anisaidie hats urafikiii
Kaka kwenye harusi yangu lazima uje ... Tena usimamie kamat ya chakula ... Kama ni tiket ya ndege ntakutumia .... Wewe na mumu na haka kadogo Da vinci ... Maana ulivyomjibu jamaa hahaha unafaa sana usiniangushe bro[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
unahitaji mpenzi dearmie na stress za kuwa hooked na JF hata usiku wa manane nipo tu lols
Dogo swalehe atakuwa kwenye kamati ipi?
Hahaha dah kaka ... Hahaha swalehe yaan sijui tumweke wapi ila tumechoka maisha ya kuish kigheto gheto ndo nmeamua kuoa ... Nyumba kubwa ... Hafu tupo wawil tunacheza ma game ya ps acha tu ... Nimpate mmoja ... Atutolee stress atuletee na kadogo ka swalehDogo swalehe atakuwa kwenye kamati ipi?
Hapo suala la harusi utakuwa umeepusha maswali ya hovyo kwa Dogo swalehe, kama vile ''Baba/mama siku ya harusi yako mimi nilikuwa wapi?"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Itakuwa jambo jema sana mkuu, andaa chopa ya kuja kunichukua huku Gambushi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha dah kaka ... Hahaha swalehe yaan sijui tumweke wapi ila tumechoka maisha ya kuish kigheto gheto ndo nmeamua kuoa ... Nyumba kubwa ... Hafu tupo wawil tunacheza ma game ya ps acha tu ... Nimpate mmoja ... Atutolee stress atuletee na kadogo ka swaleh
Manz mmoja hivi texas tulkua tunapiga nae neuro ... Usiwaze lazima uje mkuu ... Kama ni kipapatio kimoja ni kimoja tu tena nkikuweka na swalehe ye badala ya kimoja anatoa nusu ... Itapendeza mno. NB# mimi ni mtu nayejulikana usiwe na shakaItakuwa jambo jema sana mkuu, andaa chopa ya kuja kunichukua huku Gambushi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shaka lazima iwepo maana bado haijawa scientifically proved[emoji23] [emoji23]Manz mmoja hivi texas tulkua tunapiga nae neuro ... Usiwaze lazima uje mkuu ... Kama ni kipapatio kimoja ni kimoja tu tena nkikuweka na swalehe ye badala ya kimoja anatoa nusu ... Itapendeza mno. NB# mimi ni mtu nayejulikana usiwe na shaka
HahahA aisee fresh mi nilitekaga mmoja tu ... Sitateka tenaShaka lazima iwepo maana bado haijawa scientifically proved[emoji23] [emoji23]
Sasa utatumia mbinu gani mpya?HahahA aisee fresh mi nilitekaga mmoja tu ... Sitateka tena