Toa wazo lako hapa ukiwa Dar

zigi 01

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Posts
317
Reaction score
170
kama utapatiwa sh laki tano ukiwa Dar unawezafanya biashara gani ikakuingizia pesa ? ukajikwamua kiuchumi?
 
Hamna, rudi kijijini tafuta shamba, ingia kwenye kilimo!
Mjini utapigwa zote zitaisha tu, maisha ya Dar yako juu!
 
Hamna, rudi kijijini tafuta shamba, ingia kwenye kilimo!
Mjini utapigwa zote zitaisha tu, maisha ya Dar yako juu!
hahaaa sirudi kulima mm ww!!
 
kama utapatiwa sh laki tano ukiwa Dar unawezafanya biashara gani ikakuingizia pesa ? ukajikwamua kiuchumi?
Mawazo hay hapa ya biashara za mtaji huo tena unaweza kuwa mkubwa
1. Biashara ya vitafunwa
Kupika vitafuna na kusambaza ktk mahoteli na migahawa kwn kuna hoteli, migahawa na mama ntilie nyingi wanahitaji huduma hizi
2. Biashara ya kuuza matunda
Hii inafanyika ktk majengo marefu ktkt ya mji. Unachofanya ni kuomba sehem ktk ofc husika, then unaandaa vema mchnaganyiko na kuweka ktk containers. Unauza ktk maofisi kwa bei ya kati ya sh 1000 hadi 2000 kwa kontena ndogo ya mchanganyiko wa matunda
3. Biashara ya usafi wa majumbani
Mtaji huo unaanza kwa vifaa vya kawaida vya usafi
4. Biashara ya genge
Biashara hii inalipa sana hasa kutokana na kila leo watu tunakula. Tena ikitulia vema inaibadilisha hadi inakuwa duka genge, kwa maeneo ya uswazi utawabamba sana
N. K anza na hz nne, kisha leta mrejesho. Ukitaka zaidi zipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…