Na ikishindkana kbs basi kwa mwaka mara mbili,,,katikati na mwishoni inakuwa poa sanaUnaipangilia vizuri, angalau kwa mwezi mara moja
Hatahata mkishikana mikono mkatembea jioni ni outing pia..Hujazungumzia Pesa kabisa...
Hizo OUT mnatoana migombani au kushangaa misitu... ??
Pesa za out lazima ziwepo... Pia OUT sio guarantee saaana... Hio gender only God knows.
Chakata tu,, then tafuta uelekeo.
Mnatoka 'out' kwa kidogo mlichonacho
Utatupa mrejeshoSawa ..tutafanya ivyo
Ata kutoka pamoja kwenda kula chipsi au muhindi ya kuchoma, si mbaya.Hicho kidogo ndio hela inayozungumziwa hapa
Nadhani labda ni kujisahauWanawake wanapenda Sana hizi swaga alafu wanaume wanaofanya panga hizi ni wachache mno hasa kwenye ndoa haya Mambo no nadra Sana
Mazoea na vipato pia inachangia Sana lkn ni kitu kizuri mno kwanza mnapata mda wa kudiscuss Mambo mengi ya maendeleoNadhani labda ni kujisahau
Utamu uupate wewe mkuu, hela ya outing watoe wengine; huo sio uzalendo πππNaombeni mchango nimtoe shemeji yenu out,
Uchumi ukiyumba kuwezeshana muhimu, na muhimu kuona ndoa zinadumu zaidi.Utamu uupate wewe mkuu, hela ya outing watoe wengine; huo sio uzalendo [emoji23][emoji23][emoji23]
Ulimwengu huu hauko sawa mkuu, hata kuchangiwa matibabu ni shida.Uchumi ukiyumba kuwezeshana muhimu, na muhimu kuona ndoa zinadumu zaidi.