nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
Watu wa dar wanafaidi sana maisha, Yani nimenussa tu hili jiji maajabu ni mengi sana. Hivi kule kijijini nanjilinji kunaweza kuja kua kama hapa mbezi? Daah dunia haiko sawa kabisa.
Nimeshangaa bugurudi unavuka barabara kwa juu, haya ubungo ndo kuzidi. Nimepewa tenda ya kumsindikiza dogo tengeru Arusha nikapata bahati ya kuja kushangaa hapa dar. Ila wizi nasikia upo upo. Mama samia tuboreshee kijijin jaman. Is not fea