nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
Acha uongo.Kijijini huwa hawatamki neno "toba"!Wamezoea neno "mamaa weee" au "mwee" au "iiishii" au "weeee" au "khaaa"...!Watu wa dar wanafaidi sana maisha, Yani nimenussa tu hili jiji maajabu ni mengi sana. Hivi kule kijijini nanjilinji kunaweza kuja kua kama hapa mbezi? Daah dunia haiko sawa kabisa.
Nimeshangaa bugurudi unavuka barabara kwa juu, haya ubungo ndo kuzidi. Nimepewa tenda ya kumsindikiza dogo tengeru Arusha nikapata bahati ya kuja kushangaa hapa dar. Ila wizi nasikia upo upo. Mama samia tuboreshee kijijin jaman. Is not fea
Halafu mbona dar kuna umati wa watu sana hivi vijijin kuna waliosalia kweli? Mbona kama Tanzania yote iko hapa?Hahaha, ndugu yangu unanikumbusha ule msemo wa 'kuja mjini kunusa hewa!' Kumbe na wewe umefika Dar ukawa shahidi wa mambo? Lakini usijali, hata Nanjilinji kuna siku itatisha! Hapo kwa kuvuka barabara juu, usiseme Buguruni tu, subiria upande sgr na Flyover ya Ubungo, utadhani tuko kwenye movie ya 'Fast & Furious.' 😄
Wizi upo kweli, ila ukiwa makini kama ninja, utaishi bila stress.
Labda kijijini kwenuAcha uongo.Kijijini huwa hawatamki neno "toba"!Wamezoea neno "mamaa weee" au "mwee" au "iiishii" au "weeee" au "khaaa"...!
sio vijijini tu mikoa kama lindi mjini na tanga mjini hakuna vijana kabisa wote wapo dar kutoka na ukaribu wa mikoa hiyo ni mkoa mmoja tu wa morogoro ambao bado vijana wapo na upo karibu na dar pia!Halafu mbona dar kuna umati wa watu sana hivi vijijin kuna waliosalia kweli? Mbona kama Tanzania yote iko hapa?
Naskia wahenga wanadai lile daraja flyover treetop manzese mzee ruksa alipoifungua rasmi 1980s akasema sasa Dar ni kama London.Watu wa dar wanafaidi sana maisha, Yani nimenussa tu hili jiji maajabu ni mengi sana. Hivi kule kijijini nanjilinji kunaweza kuja kua kama hapa mbezi? Daah dunia haiko sawa kabisa.
Nimeshangaa bugurudi unavuka barabara kwa juu, haya ubungo ndo kuzidi. Nimepewa tenda ya kumsindikiza dogo tengeru Arusha nikapata bahati ya kuja kushangaa hapa dar. Ila wizi nasikia upo upo. Mama samia tuboreshee kijijin jaman. Is not fea
Aisee!Watu wa dar wanafaidi sana maisha, Yani nimenussa tu hili jiji maajabu ni mengi sana. Hivi kule kijijini nanjilinji kunaweza kuja kua kama hapa mbezi? Daah dunia haiko sawa kabisa.
Nimeshangaa bugurudi unavuka barabara kwa juu, haya ubungo ndo kuzidi. Nimepewa tenda ya kumsindikiza dogo tengeru Arusha nikapata bahati ya kuja kushangaa hapa dar. Ila wizi nasikia upo upo. Mama samia tuboreshee kijijin jaman. Is not fea
Acha uongo, Watu wa Vijijini Tanga wanasema "Toba Yarabbi"Acha uongo.Kijijini huwa hawatamki neno "toba"!Wamezoea neno "mamaa weee" au "mwee" au "iiishii" au "weeee" au "khaaa"...!
Mmewasilimisha au ni mazoea yao tu?Acha uongo, Watu wa Vijijini Tanga wanasema "Toba Yarabbi"
ndo maisha yalivo ukiwa ujafika dar unapaona pa maana sanaaaa......nakumbuka sku moja nilienda kijijini sasa nikaomba lift kwa lori huko kijijin wakaniuliza natokea wap nikawaambia dsm wakaanza kunibishia ety nawadanganya .......ukiwa hujafika marekan unapaona pa ajabu sana lakn ukiish huko unazoea hali........juz tu nilikuwa huko beijing ndoton
Walizaliwa wakiwa WaislamMmewasilimisha au ni mazoea yao tu?
Kuwa tu makini na simu usije ukapotea hewani ghafla...Watu wa dar wanafaidi sana maisha, Yani nimenussa tu hili jiji maajabu ni mengi sana. Hivi kule kijijini nanjilinji kunaweza kuja kua kama hapa mbezi? Daah dunia haiko sawa kabisa.
Nimeshangaa bugurudi unavuka barabara kwa juu, haya ubungo ndo kuzidi. Nimepewa tenda ya kumsindikiza dogo tengeru Arusha nikapata bahati ya kuja kushangaa hapa dar. Ila wizi nasikia upo upo. Mama samia tuboreshee kijijin jaman. Is not fea
Wee muongo! Daraja la manzese limejengwa miaka ya 1990 sio 1980Naskia wahenga wanadai lile daraja flyover treetop manzese mzee ruksa alipoifungua rasmi 1980s akasema sasa Dar ni kama London.
Nyau de adriz
Nachati pia naweka katika begisio vijijini tu mikoa kama lindi mjini na tanga mjini hakuna vijana ka
bisa wote wapo dar kutoka na ukaribu wa mikoa hiyo ni mkoa mmoja tu wa morogoro ambao bado vijana wapo na upo karibu na dar pia!
Kuwa tu makini na simu usije ukapotea hewani ghafla...