Duuuuuh, ama kweli si churaaa wala vyura nilowaonaNapata picha sasa kwa nini wazungu wameng'ang'ania chura wetu wa Kihansi ni wa aina yake na hawapatikani sehemu yoyote Duniani isipokuwa Tanzania tena Kihansi tu, inasemekana chura hawa hawatagi wanazaa, wazungu hamnazo...
fungua kwa kufuata utaratibu utaona MAUFUNDI ya hao CHURA.Picha hazionekani
Ahsante, Ina maana waliwaondoa wooote Kule Kihansi .Watarudishwa na kukabidhiwa tena kwa wazawa, huku ndio kwao bana.