Ukosefu wa ajira shida sana,na ukzingatia kuwa wasio na kazi wengi huwa hawana hata uwezo wa kubuni shughuli za kujipatia kipato,nina imani kabisa kama watu wangekuwa na shughuli za kufanya basi hakuna hata mmoja ambaye angemuona huyo Kilole sijui Vilole mnamuita..........mi hata simjui...