Tobias Kifaru: Kuna Watu wanahangaika Mechi yao na Sisi isichezwe Manungu ila itapigwa Manungu na tutawafunga

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
"Kama Dotto amekuja Manungu lazima na Kulwa nae aje hivyo nawaonya hao Watu ambao wanahangaika Kwingineko na hata Kwetu Mtibwa pia ili Mechi yao na Sisi tarehe 23 February, 2022 ila sasa natangaza Officially kuwa Mechi yao hiyo nasi Mtibwa Sugar FC itachezwa Manungu Complex na wajiandae Kufungwa na Kupigana Bakora" amesema Tobias Kifaru Msemaji wa Klabu ya Mtibwa Sugae.

Taarifa: Sports Extra Clouds FM Leo.

Nami naongezea hiyo Timu lazima itachapika tu Siku hiyo na kama itashinda basi ni kutoka Sare pekee halafu na Sisi wa Timu nyingine tumeshamwandaa Beki Abdi Banda ahakikishe Mayele anaishia ICU, Beki Ame Ibrahim anamfanya Feisal Salum anazimia Siku Tatu na Kiungo Said Ndemla amfanye Aucho awekewe POP ( Plaster Of Paris ) Miguu yote Miwili na ikiwezekana Kipa Shabaan Kado amfanye Ntibazonkiza ama awe Kipofu au Kibogoyo kabisa kwa Kumrukia Kung Fu Kiki ya Kumzidi Mwenye Sanaa yake ya Mapigano Hayati Bruce Lee.

Tafadhali mnaohangaika Mechi yenu na Mtibwa Sugar FC isipigwe Manungu kwa kuogopa Kurogwa pale Darajani Mtoni na Waganga wenu Kuwaambia kuwa hali ni mbaya huko msikasirike kwa Wachezaji wenu hawa tajwa Kuumizwa kwani tuna Kumbukumbu ya kuwa hata nyie Timu moja mnayoichukia ilipocheza na Dodoma Jiji FC nanyi mliwaambia Wachezaji wa Dodoma Jiji FC wawaumize Wachezaji mahiri Sakbo, Kanoute, Inonga, Kagere, Kapombe na Dilunga.

Unyama Unyama tu na tusipangiane Ok?
 
Utopolo wasivyo na akili kesho watatoa tamko kuhusu kuonewa.

Na Takukuru wanapaswa kuwachunguza maana hawachelewi kupanga yao na waamuzi kama ilivyokuwa mwaka jana.Walibebwa sana ila hawabebeki
 
Nyie wafu wa soka mnajitapa bure, hakuna mvua mtapigwa tu na lazima mpigwe. Tunawajua sana. Bora mechi ingepigwa Morogoro Jamhuri stadium.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…