Tobo la bidhaa za Kariakoo lipo Malawi, Congo, Burundi, Zambia

United ya Ferguson

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2021
Posts
3,132
Reaction score
6,353
Ukiwa kkoo kama una kichwa kinafanya kazi haraka haraka

utagundua BIDHAA nyingi sana hasa viatu,nguo, jersey za mpira n.k zinauitaji mkubwa sana kwenye mataifa tajwa hapo juu.

Kam kweli mtu unamtaji na utanataka pesa za haraka haraka kweny biashara hasa Kwa wale wenye ndoto ya kuwa na maduka kkoo jtaidi soko lako utargert kweny mataifa ya Malawi, Congo, Burundi, n.k sifa za wateja wa mataifa haya ukiwapata wanatabia ya kununua mzigo mkubwa,

Pia Kam mtu unaweza kupelekea mzigo mwenyewe kweny mataifa tajwa peleka ukifanikiwa kutengenezea base nzur ya soko kweny mataifa hayo elewa kabisa unakimbilia utajili

Kwa. Wale wafanyabiashara wa kkoo wanaofanya biashara na wateja toka mataifa tajwa nazan wanaelewa nacho kimanisha
 
Hadi sasa nachojua mimi MALAWI ZAMBIA CONGO na BURUNDI MSUMBIJI ni chawa wa Tanzania yaan yale ni makoloni yetu tukiyatumia vizuri aseee tutaendeleza influence zetu kwenye izo nchi miaka mingi mbele kijeshi kisiasa na kiuchumi
Sure kabsa hayo mataifa Tz tukiyatumia vizur tutafika mbali sana.
 
Hapo umeshirikishwaje? Any connection?
Kwahyo wew unataka mtu aje nyumbani kwako akushike mkono akupeleke kariakoo afu anze kukwambia matola unaona hili duka la viatu mbele Yako apo ndio Sunderland tunachukua viatu vya jumla.Dheni akushike mkono akupeleke cargo akwambie apa ndio.tunaposafirishia mizigo kwenda Malawi na Congo.kama una Nia toka nyumbani kwako ujifunze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…