white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,618
- 13,896
Kwenye mwanga mkali haitaweza kufanya kazi kwa ufanisi, hata kama ni chumba chenye mwenge mkubwa lazima uitafutie sehemu, kwani lengo ni kukusaidia wewe kutambua pesa fake, unaweza iweka chini ya kabati la pesa, au sehemu yoyote ambayo muda wote itakuwa na giza giza, kwani mwanga wake unakuwa wa dhambarau.Nitaenda kujaribu mahali hapo mkuu. Kwa mchana wa jua kali hii balubu kwenye kibanda chenye mwanga tele wa jua utendaji wake unakuwaje mkuu?.
Kweli ana hela za kuchezeaUna hela nyingi sana dogo
Kurunzi nzuri kukagua note ni Jua.Wakuu habari ya majukumu?
Naomba kusaidiwa wapi ninaweza kupata zile tochi zenye mwanga maalumu, zinazosaidia kutambua alama mbalimbali za noti, ili kubaini noti halali na noti feki?.
Natanguliza shukrani.
Kwani mkuu kinachozalisha ultra violet ni app au hardware iliyoundwa kufanya hivyoDownload application ya ultra violet note checker ziko nyingi tu
simu haina UV source , so iyo app ni useless ( haiwezifanya kazi)Download application ya ultra violet note checker ziko nyingi tu