haha tunaona harakati zako humu mkuu....unasharp mind sana, one of the best mind aroundDuuh mkuu sijui umefikiria nini hadi ukasema hvo..!!
Thanks so much brother
Nilimuona,ila tupia ile ya Birthday sasa[emoji1]Niliwahi tupia kwa mshana. Hope ulimuona vinchi
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu..
Hua siwezi kumnyima mtu kitu ambacho kiko ndani ya uwezo wangu. Please usiendelee kuniomba.
Pole mkuu tujitahidi kuwa bora zaidi wakituona wajutie maamuzi yaoThanks mkuu..I will take this to the bank
Astelia alinipotea