ngonzi zomukama
Senior Member
- Apr 13, 2010
- 170
- 6
huh mwaya hivi tumezaliwa siku moja! .......
mungu akujaalie maisha marefu yenye mapenzi moto moto daima
happybirth day mtoto gaijing..........hata karibu hakuna?huh mwaya hivi tumezaliwa siku moja! .......
Mungu akujaalie maisha marefu yenye mapenzi moto moto daima
HAPPY BIRTHDAY NGONZI.................UNATUTEGA? Mbona husemi ni wakati gani? halafu umefanya kosa kutukaribisha kwa vile mie nitatia timu tu. Sihitaji kadi. UBARIKIWE............wakumbuke sana wazazi wako siku kama ya leo.Leo nisiku yangu ya kuzaliwa namshukuru mungu kwa kuniwezesha hata kufika miaka hii, zaidi kuwa familia nakumuomba aniepushe na magumu yoooote yanayonikabili
Zaidi nawakaribisha wanaJF wooote watakao jaliwa kufika ZHONG HUA GARDEN mpate japo cake na kunitakia baraka mie bday girl,
Happy Bday sweetie