Today is my happy birthday karibuni nyote tushereheke sikukuu ya kuzaliwa kwangu

Mkuu Miaka 53 ni miaka ya kawaida tu Kwa ulayaunaonekana bado kijana watu wana miaka 70, 80, na miaka 90 na ukiwaoan kama wtu wenye miaka 50 vile kitu cha kawaida usishtuke mkuu...
Dah...Bongo ukiwa na 50 kila dem anakuamkia...na madem wengi mwisho wao ni miaka 30..baada ya hapo haiongezeki tena..πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mkuu Mulla Omari Amefariki kama vile Mzee Osama Bin laden. Mwennyeezi Mungu awarehemu amin.

Life Goes On - Tupac...


Ukinitajia Osama.natamani kuliaaaaaaaa[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji22] [emoji22] [emoji30] [emoji22] .Huyo role model wangu.
 
Post za hivi peleka Insta na FB. Sipendagi unafiki mimi.
 
kusheherekea miaka ulio itumia na ukajulishwa kuwa ni miaka 53 ama utaikutia kesho inshallah akhera Kwa mema ulio yatenda Allah akufanyie wepesi wakila jambo lakheri hio miengine utaayo pewa ameen
 
Happy birthday 2yuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu


uuuuuhuuujjuuujuuu

DAKTARI.....

HONGERA SANA....

53 SIYO SPORT SPORT UMEKWEPA MISHALE SANA MKUU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…