Kimwerymdodo5
JF-Expert Member
- Feb 10, 2019
- 2,043
- 3,305
post za kitoto peleka fb humu sio mahala pakeJamvi la leo...
Kuku over 6.5
Ugali under 0.5
Pilau over 20.6
Mbuzi win
Maharage lost
Mchicha correct score 0-0 FT
😉stake any amount you wanna
Hii ni nini?
Jamvi la leo...
Kuku over 6.5
Ugali under 0.5
Pilau over 20.6
Mbuzi win
Maharage lost
Mchicha correct score 0-0 FT
😉stake any amount you wanna
post za kitoto peleka fb humu sio mahala pake
Hii itakuwa over 2.5 mkuu😂😂😂Lost maini 0.5
Na hiyo ni first half daaadeq...😂😂😂January 9 : 0 December
Nimeiacha hii game dkka ya 10,FT imeishaje!?😄Guest House 3 : 0 Home Kawaida
😄hii comment ni from moshi bila shaka
Herufi moja imeharibu mazma yan😂😂😂Hiyo ndo ‘roast maini’?
Hahahahaa.
Herufi moja imeharibu mazma yan😂😂😂
😄haswaa.Hahaha....ila unajua nini? Si ajabu hivyo ndo huandikwa ukiingia mtaani.
Hapa hapa Mzizima[emoji23][emoji1]hii comment ni from moshi bila shaka
RubbishHii ni nini?