elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
hahaha so ina maana watu tunaogopa kujua ukweli wa mambo ndo maana hatufuatilii mambo ya wenzetu?
Uko sahihi kbs,I think imekaa poa tu,kwanini ujitafutie presha ambazo siyo za lazima...Kama ana-cheat utajua tu za mwizi 40!
hujambo Canta,hongera maana naona uki stick kwa mwanaume mmoja hu cheat.Uko sahihi kbs,
Yann kuishi kwa stress,
Yangu akitaka aangalie tu,ya kwake wala sitaki kuwa karibu nayo acha kuigusa lol!
Sijambo kbs Bishanga,hujambo Canta,hongera maana naona uki stick kwa mwanaume mmoja hu cheat.
nakuaminia Canta,kaza buti kwenye msimamo huo na Mungu atakusaidia.Sijambo kbs Bishanga,
Nikishikwa huwa nashikamana babangu,
Na raha moja huwa najiamin na kumwamini mwenzangu,
N maisha ya amani nikuaminiana tu,
Na akiamua hata nikikagua cm yake mara 100 kwa siku bado sitaweza kumzuia.
Asante bishanga,nakuaminia Canta,kaza buti kwenye msimamo huo na Mungu atakusaidia.
Binafsi nilishagundua simu zinachangia sana kuharibu mahusiano mengi,
Na pia sion sababu ya kupekua simu ya mtu ili kujua anaowasiliana nao,
Km yy anaiba atajua yeye na mungu wake,
As long as natimiza wajibu wangu km mwanamke,
Na namwamini kwa kile ninachokipata,kwake am the only one to him,
Na km unajiamin wala hutahangaika na simu zake,coz uko satisfaidi.
Nakwambia bora cha kusikia kuliko cha kuona mwenyewe...! Halafu it's not good basi tu,kuchukua simu ya mwenzio specifically kwaajilili kungia inbox,outbox,draft,received calls,dialled calls..huh! mwingine hadi phone book maninaaaa...sasa ndo nini,inaonyesha jinsi gani humuamin mwenza wako tena live..#Mtu unakuwa huna uhuru na simu yako! Wewe jiamini tu kama ni wako ni wako tu...