Kama alivyosema Mwanakijiji
Wanamme huwa ni padogo sana kwenda nao upendavyo
Ila lazima utumie akili kidogo
kama unataka kuwa na raha na mahusiano yake
mfanye mwanamme ajione ana madaraka na mamlaka
huna haja ya limbwata
Tena kitu kidogo kama simu, hata ukimuona anapekua wala huulizi
kama ulikuwa chumbani mwache nayo nenda kaoshe vyombo jikoni
Zikiingia meseji mwambie "dear naomba unisomee mikono yangu inapovu"
Kama unaoga mwambie "swir nipokelee"
Haijalishi wewe ni cheater au mwaminifu mmeo lazima awe na full access ya simu yako, tumia akili ya kuzaliwa kuficha mahusiano ya nje. Bora ukawa na simu mbili moja ukaiacha kazini, mechi za machangani piga siku za kazi na masaa ya kazi tu.
ukiona unaanza kumbeba na wikiendi piga chini fasta maana utaingia mkenge usio na maana.
They are for fun nothing more.Period!
Huolewi/huoi ili umpatie mtu presha ya hiari jamani, am I an I.d.i.o.t here?
:shock:
Ila inategemea labda kama umeolewa na kavulana ila kama ni mwanamme hata account atajua na sh ngapi na bado natumia zake
Nini inbox ya mwili ..engine kabisa!!!
Mimi najiamin..akitaka kuchukua simu achukue na aingie kote huko lakin sitaki iwe daily routine. Hata mimi najisikia vibaya,eti kila tukionana kitu cha kwanza jamaa anachokiona ni simu fastaaa anaaanza kuperuz..labda kama kanioa!
Ni kweli usemayo..haya mambo ni pasua kichwa tena sana tu! Mambo ya kuwekana wazi si mtawekana wazi kwa njia ya conversation sio kwa kupekuana kwenye simu..huyu nani? mbona huyu alikupigia asubuhi sana mlikuwa na nini? heeeeeh!??... Hii numba ya nani mbona ni ngeni kwenye phone book??....dah!