Na hito simu ninayokatalia asiishike ndo inakuwa na hayo mambo ya kazini eeh?hahaha.... Dear naona yategemea na one's/couple's stand.... But IMHO...
- Mambo ya kazini ambayo Kampuni hairuhusu yajulikane.
- Mambo mengine ya kifamilia ni ya aibu e.g mjomba kabaka mdogo wako (God forbid)
- Kwamba kuna mwanaume/mwanamke mwingine wamkubali kuliko yeye spouse wako.
- Yaweza yakawepo mengine.... (but haya si yatosha B'?)
Okay, if memory serves me right, you are married.
Now, does your husband know if you are a member here? Is he a member too? If he is, do you know his user handle? Does he know yours?
My hubby is not a member... Na so tied up he rarely uses the net
apart from comm'Ngabu If my husband enters hapa....
And knows it is in fact ME (Na atajua tu!)
I don't know what to say.... Maybe niulize how do i handle what?
Na hito simu ninayokatalia asiishike ndo inakuwa na hayo mambo ya kazini eeh?
Halafu namku alije mwanaume mwingine kuliko mume wangu?/kivipi?
Asante kwa kujibu baadhi ya maswali yangu.
Heheheheee hadi 'penati' GeeBee unakaba kote kote! Duh
sasa naenda ku acknowledge kwa mume wangu kuwa fulani ni bora kuliko wewe?
Anyway sijaelewa privacy inakujaje hapo hata mi naona ninyooshe mikono na niendelee tu nA vile nifanyavyo sasa...najiskia huru zaidi kuliko maisha ya kufichaficha
After all the most private 'thing' ndo nshamwachia sasa...
Heheheheee hadi 'penati' Gee
What the hell is privacy in a marriage? Mweh!
Umeongea la msingi saana... Ni kweli... Uliniuliza ni kitu gani mumeo inatikiwa asijue.... na hio ni moja wapo. Sikua na maana kua yatakiwa umwambie.. Ila tu tukubali kua "Trust" ndo msingi wa yooote. Ila tu labda iwe abused ndio uanza kufuatilia.... na kushika hizo simu... Maana kama woote mna simu - kuna sababu yoyote ya kuanza taka ya mwenzio nje ya kusema labada yako ipo unavailable? Otherwise labda uwe drived na suspicion.
I feel like.... its not complete vile. Enways... Ngabu hope uko fully satisfied.
Sababu za kushika simu ya mwenza zipo nyingi sana bila ya kuwa hakuna trust.
Labda yeye ana game nzuri mie sina na nataka kucheza. Au amenunua kitabu ambacho Mimi sina kwenye simu, au I'm just bored na simu yake ipo karibu nimeamua kuichezea tu.
Hii ya mwenza asiguse simu sikubaliani nayo hata punje. Kama hamuaminiani msingeoana maana hamkulazimishwa na mtu
asante, ukielewa naomba unifafanulie na mimi
Sababu za kushika simu ya mwenza zipo nyingi sana bila ya kuwa hakuna trust.
Labda yeye ana game nzuri mie sina na nataka kucheza. Au amenunua kitabu ambacho Mimi sina kwenye simu, au I'm just bored na simu yake ipo karibu nimeamua kuichezea tu.
Hii ya mwenza asiguse simu sikubaliani nayo hata punje. Kama hamuaminiani msingeoana maana hamkulazimishwa na mtu
Hapo juu yawezekana ni kweli kabisa... Na hio ni explanation yako Gaijin... But ukweli unabaki kua katika idadi kubwa ya wenza wanao shika simu - functions na services sio ambacho humfanya ashike simu rather ni the content ya hio simu kua ina kitu gani humo ndani na kutoka kwa nani...
Well, like I always like to say, to each his own. I don't shit what I don't eat.
The idea of privacy in a marriage is absolutely ludicrous to me. I don't get it. I have never gotten it. And I will never get it.
But marriage is an arrangement of two people. However those two define theirs is all that matters.
Umejuaje motives za baina ya wenza? Idadi kubwa ni wangapi?