Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
In blue... That's the beauty of it... Each has his/her belief.
In beige... EXACTLY Ngabu....
Do you live in isolation Gaijin?
Umeongea la msingi saana... Ni kweli... Uliniuliza ni kitu gani mumeo inatikiwa asijue.... na hio ni moja wapo. Sikua na maana kua yatakiwa umwambie.. Ila tu tukubali kua "Trust" ndo msingi wa yooote. Ila tu labda iwe abused ndio uanza kufuatilia.... na kushika hizo simu... Maana kama woote mna simu - kuna sababu yoyote ya kuanza taka ya mwenzio nje ya kusema labada yako ipo unavailable? Otherwise labda uwe drived na suspicion.
See, there is always room for agreement. And some people have the audacity of casting me as some sort of a neanderthal....lol
Ila tu tukubali kua "Trust" ndo msingi wa yooote.
Niishivyo sio muhimu sana hapa.
Cha muhimu ni umejuaje motives za baina ya wenza kwa idadi yake
Ni muhimu Gaijin... Ukiniambia waishi in isolation nitaelewa why you don't understand....
Ukinijibu hapo... Kama ni YES, Nitapenda nijue the following...
The najua ndo nitaweza kukujibu hadi ukafurahi.... Labda uhahirishe kutaka jua....:eyebrows:
- Umebahatika kuzungukwa na wana ndoa? kama ni YES.
- Ni typical ndoa kama za Watanzania wa kawaida?
Na wewe huelewi kumbe?
Kwa kweli sielewi.
Labda kutokana na case niliyowahi ishuhudia/isikia mtaani kwetu
Baba alikuwa msiri kwa mkewe
Na mke alikuwa mama wa nyumbani
Akafa ghafla
Mdogo wa marehemu ndo akaanza kumuonesha mkewe baadhi ya vitega uchumu vya mumewe
Lakini inasemekana na mdogo mtu alichukua a big portion
Maana baada ya kifo cha kaka mtu mdogo ghafla alitajirika
Watu wakawa wanajiuliza kapata wapi hivi vyote maana alikuwa mwajiriwa wa kaka yake
hapo kwa trust nakubaliana kabisa na wewe Asha
sasa whether anaishika simu yangu kwa sababu yake functions kama zangu au ni yaliyomo anataka kuyaona, sina tatizo kabisa na hilo. so long as unajiamini na una uhakika hakuna kibaya unachomzunga mwenzako, kwa nini ufiche?
kuna watu wanapokelea simu bafuni....unadhani kwa nini? wana jambo hawataki wenzi wao wasikie!!
mimi nasema fidelity ndio msingi wa yote. Without fidelity there can never be trust!
haswaaa!!!
Ukiona mtu anazunguka mbuyu kwa sana jua hana jibu
Kuna kitu nataka nikuulize lakini nasita kwa sababu huenda nikawa navuka mstari!
Bht I don't believe in somebody messing up with my 4n...
Hivo i will respect ya mwenzangu kama vile nitataka arespect.
Na sio sababu kua kuna kitu funny nafanya... No... Basi tu ni hulka yangu...
How ever hata hivo Trust dhidi ya simu inatakiwa ijengwe kwanza....
Kushika shika kila mara... HAPANA, Kushika when ever necessary... Thats good to me.
Ndio ulivo Gaijin... Sometimes it is tiresome kufanya as discussion with you.... (yawezekana labda ni kwangu for we NEVER EVER have agreed on anything...); Wee wapenda saana kuuliza maswali ujibiwe.... Ila vipi wewe huwezi Jibu? Are you allergic to questions OR you are just allergic to mine?
It is simple.... Umeeuliza swali na nimekuuliza "Do you live in Isolation?" IMO swali rahisi Kabisa... Umekwepa sasa wataka CONCLUDE sina jibu... Sikurupuki na hua sianzishi nisilojua... Hivo basi MAJIBU ninayo... Yaweza kua wrong depending on one's perspective.. but there are there.... Hivo basi wataka nikujibu JIBU SWALI LANGU....
Gaijin hebu nipe horryaaa na heheeiya....
Hahaahaha wewe mtu shabiki kweli kweli!