simu yake yanini? Labda nyie wenye ndoa,sisi wengine ni burudanii tu..isitoshe mimi nina pin code za kuzuia simu kuingia nikitaka.
Ni kweli unahitaji privacy kwa vitu vyooote iwapo mwenzi wako hayuko muwazi kwako pia. But supposed yeye akawa muwazi kupitiliza, na hajali kama wewe ni muwazi kwake au lah bado utaona umuhimu wa hizo privacy zako sweetie?
mnh,...
sweetheart hapa naomba nisieleweke tu, ila nahitaji privacy zangu fulani fulani aisee i.e passwords, payslips, bank accounts & PIN numbers etc...
Kwa experience yangu, wanawake ni wadadisi sana mwanaume ampe access codes zake zote, lakini yeye mnhhhh!
Klorokwini ipo siku utagundua uchungu wa hicho kidonge na kwanini kilipewa formula hii;

Of coz si lazima kuwa muwe mnashare kila kitu but pale utakapoanza kulijengea HOJA kisa nimeishika simu yako hata kwa bahati mbaya mhmhhhhhh!! Love nitaanza kukutizama kwa macho manne ambayo sina!
Mkuu Mbu amini nakuambia, ku share simu ni njia moja ya kuyafanya mahusiano yadumu sana kwasababu mwenza wako kabla hajafanya manyago yake kupitia simu (which is vere common these days) atakuwa anafikiria mara mia huku akijua kuwa mwenza wake ana share kwenye simu yake au at least atatumia njia ya kijitu kizima zaidi kukubadilikia na sio hizi za kitoto tunazozishuhudia kila siku.
Na wewe ipo siku utagundua kwa nini Mbu wa Anophlese haambukizi matende.

Tusizeeshane bana Bee, nambie gud moning
Duly noted, Mr. Principal Secretary!
Kwavile Urais umekuwa dili hapa JF tuna mpango wa kukupindua
Gud moning honey!gud moning klorokwini
yaani leo mimi unanikosha sana aisee....mapwenti tuu!!!
Ngoja niwasiliane na mwanasheria wangu mkuu tuwashtaki kwa kosa la uhaini!
...kinachonikwaza kwenye uwazi huu ni kitendo cha mwenza wako kuhoji majina ya contacts wako, na kila sms inayoingia anataka kujua imetoka kwa nani, na kwanini amekwambia maneno fulani, ...au kwanini ile sms aliyekuhoji jana umei delete...aisee? kila siku ya mw'mungu unakuwa mtuhumiwa tu kizimbani... haiji bana!!!
mwanasheria gani? mwajuma?
uza kuku wa kienyeji ww mkaa utapata homa ya mapafuGud moning honey!
hehehe Leo mtaji umeongezeka naachana rasmi na biashara ya mkaa
hehhehe Dah! ndo maana akajiunga NCCR mageuzi nini?Mwajuma kaishia la sita...
hehhehe Dah! ndo maana akajiunga NCCR mageuzi nini?
uza kuku wa kienyeji ww mkaa utapata homa ya mapafu
halafu naona umenikonfyunzi na mtu mwengine hapo kwenye kipapli papli....mi sio lizzy bana angalia ID vizuri[/QUOTE]
heheeh huyu ndio Bht bana!
Ile ni personal phone, unataka nini kwenye simu yangu kama mimi sigusi ya kwako?
search for Truth for it will set you free! at least thats what an old adage states!! BUT FREE FROM WHAT and the aftermath of your findings makes lsome end up wretched!! despite all the facts in his heands.hahaha so ina maana watu tunaogopa kujua ukweli wa mambo ndo maana hatufuatilii mambo ya wenzetu?