TOEFL/IELTmwenye uzoefu wa haya majaribio ya kimombo anipe uzoefu tafadhali... Gharama,wapi inatolewa hapa bongo, maandalizi yake ili ufaulu vyema N.K.
Shukrani sana
nenda UCC (University of Dar Es Salaam Computing centre) pale utapata TOEFL, sijui kama british council wanatoa unaweza cheki kwenye website yao..!!! Goodluck