TOEFL inapatikanaje?

TOEFL inapatikanaje?

Mas The Great

Senior Member
Joined
Dec 27, 2011
Posts
150
Reaction score
64
wakuu mimi naomba mnisaidie kwani kila vyuo ninavyoomba naambiwa niwakilishe matokeo ya mtihani wa TOEFL. je niyapateje?. kuna TOEFL na nyingine kama hiyo.
 

Kawaida tu.

It was underwhelming, nimejifua nikakuta wana assume kwamba hujui Kiingereza kabisa.

Kama unaweza kufuatilia watangazaji wa CNN na kuwaelewa vizuri halafu huna matatizo na written English si ngumu.

Ila by then ilibidi ujue chuo gani una apply kabla ya kujiandikisha, halafu unawapa namba ya chuo ili majibu yaende moja kwa moja chuoni.

Nafikiri itakuwa hivyo bado. Kwa hiyo anayefanya mtihani ahakikishe amenarrow down vyuo anavyotaka ku apply na anajua codes zake.

There's gotta be an updated FAQ somewhere kwa wanaotaka kufanya mtihani.
 
kituo cha kufanyia mtihani kipo pale UDSM kama ni mgeni wa hii mitihani nenda ujiandikishe na ufanye mazoezi kwa kununua cd zao kwa kuangalia huwa ikoje kwangu mimi nilikuwa sijui hichi kitu niliaply chuo uk nikaambiwa nifanye IELTS au TOEFL muda wa kufanya IELTS ulikuwa umepita bongo huwa walikuwa wanafanya mara moja kwa mwezi tu sijui kwa sasa labda wameshabadilisha na kwenda nairobi nikaona ni gharama ikabidi niingie nifanye TOEFL mara ya kwanza nilichemsha nilambulia 52% nahuku ninahitajika 75% nakuendelea nikarudia week inayofuata ndio nikapita, kwa maelezo pitia hapo UDSM kwenye jengo la computer center kuna mhusika mkuu wa hiyo idara kwa jina anaitwa MacDonald bila kukosea ilikuwa siku nyingi kidogo (ila vumilia tu upate unachokihitaji tu) na pale reception watakupa maelezo mengi,
 
Back
Top Bottom