kituo cha kufanyia mtihani kipo pale UDSM kama ni mgeni wa hii mitihani nenda ujiandikishe na ufanye mazoezi kwa kununua cd zao kwa kuangalia huwa ikoje kwangu mimi nilikuwa sijui hichi kitu niliaply chuo uk nikaambiwa nifanye IELTS au TOEFL muda wa kufanya IELTS ulikuwa umepita bongo huwa walikuwa wanafanya mara moja kwa mwezi tu sijui kwa sasa labda wameshabadilisha na kwenda nairobi nikaona ni gharama ikabidi niingie nifanye TOEFL mara ya kwanza nilichemsha nilambulia 52% nahuku ninahitajika 75% nakuendelea nikarudia week inayofuata ndio nikapita, kwa maelezo pitia hapo UDSM kwenye jengo la computer center kuna mhusika mkuu wa hiyo idara kwa jina anaitwa MacDonald bila kukosea ilikuwa siku nyingi kidogo (ila vumilia tu upate unachokihitaji tu) na pale reception watakupa maelezo mengi,