Zote kif kif. chagua moja tu umalizane nao.
Kama unaenda common wealth IELTS bora
Kama ni US pekee, basi bora TOEFL.
TOEFL test is easier but IELTS is broader
Sijui, binafsi nilishindwa zote so...:yawn:mkuu mi naona TOEFL ni ngumu kidogo kuliko IELTS maana nakumbuka nilifanya TOEFL sikupass maana ukishaandika umeandika na muda haukusubiri tofauti na IELTS ila nilivyofanya ielts nilifaulu vizuri nikaondoka zangu. labda tunatofautiana kimtazamo.