Toeni ufafanuzi kuhusu mchezaji Lawi, mnakurupuka tu

Toeni ufafanuzi kuhusu mchezaji Lawi, mnakurupuka tu

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Mliposti kwa madaha kuwa mmemsajili beki wa Coastal Union, mkamsifia kuwa ni beki la kazi, beki katili, sasa Lawi ameonekana kwenye camp huko akijiandaa kucheza Cecafa.

Wajibuni mashabiki maandazi nini kimetokea, maana mnakurupuka tu.

Basi utasikia mashabiki mazuzu wakisema kuwa Lawi hana sifa za kuchezea Simba, Lawi hana namba pale Simba bora abakie Coastal.

Imeshakuwa sizitaki mbichi hizi.
 
Back
Top Bottom