Lupe Tz
JF-Expert Member
- Aug 7, 2021
- 259
- 910
Habarii zenu wakuu, kama kawaida sisi walala hoi, wenye hela za mawazo kila kukicha tunapambana walau kupiga hatua.
Nina kauwanja na nina tofali 700 plan ni kupata 2 bedrooms, 1 master, kitcen+dinning nauliza km hizi tofali 700 nje ya msingi, zinaweza kutosha au nidundulize niongeze tofali? ushauri wenu wakuu