Shamkware
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 1,750
- 2,283
Wakuu nauliza kwa mliojenga tayari, Ulitumia Tofali ngapi kujenga msingi tu wa nyumba yenye vyumba 3 ikiwa na jiko dining na public toilet!
Na je gharama gani inafaa kumlipa fundi kwa ujenzi wa msingi tu?
Eneo la kiwanja ni flat tu hakuna slope.
Na je gharama gani inafaa kumlipa fundi kwa ujenzi wa msingi tu?
Eneo la kiwanja ni flat tu hakuna slope.