Mkuu swali lako lingejibika vizuri Kama ungeweka ramani na eneo lako Kama Ni tambarare au Lina muinuko mfano nikuulize toka dar Hadi Kilimanjaro gari itakula mafuta kiasi gani bila kutaja aina ya gariWakuu nauliza kwa mliojenga tayari, Ulitumia Tofali ngapi kujenga msingi tu wa nyumba yenye vyumba 3 ikiwa na jiko dining na public toilet! Na je gharama gani inafaa kumlipa fundi kwa ujenzi wa msingi tu?. Eneo la kiwanja ni flat tu hakuna slope.
Haya ndio tunaita ambiguous questions! Ila kujibu kwa uzoefu, 1,200 hadi 1,800. Inategemea na ukubwa wa vyumba.
Ufundi inategemea mazingira, wengine 800,000 hadi 1,500,000. Haya ni maswali tata kujibu.
Mkuu swali lako lingejibika vizuri Kama ungeweka ramani na eneo lako Kama Ni tambarare au Lina muinuko mfano nikuulize toka dar Hadi Kilimanjaro gari itakula mafuta kiasi gani bila kutaja aina ya gari
Ndo hivyo mkuu hapo akili nayoweza kukupa kwa Ni tafuta mafundi wa tatu tofauti kila mtu akupe makadirio yake alafu chukuwa yule mwenye Bei ndogo ila hakikisha hao mafundi Ni kutoka maeneo tofauti ila tofali lazima zicheze kwenye 1500 Kama ulipo Kuna mawe Bora ujenge msingi wa maweSijui kwakweli sio mwenyeji wa huo mkoa mkuu
Huyu jamaa aivyokujibu inaonesha ni watu ambao ni slow learner alafu hataki kuisumbua akili kuelewa yeye itakavyo kaa atajibuNdo hivyo mkuu hapo akili nayoweza kukupa kwa Ni tafuta mafundi wa tatu tofauti kila mtu akupe makadirio yake alafu
pima mzingo wanyumba yako kwa futi(urefu jumlisha upana)kuta zote...ukishapata kadiria au amua ni togfali kisi gani unataka msingi wako unyanyuke zingatia msingi mfupi sana kama bado tanroad au tarura hawajaweka barabara hapo unapojenga lazima watajaza kifusi na kama msingi wako utakuwa chini kuliko kifuis chao jua unatengeneza bwawa jaribu kunyanyua uwezavyo... upipata mzingo wako sasa mfano ni ft 1000 za mzingo gawanya kwa tofali moja lina ft1.5 utapata tofali karinia 666 kwa mzunguko mmoja sasa unataka kupandisha kozi ngapi au tofali ngapi zidisha mf; 666*3=tofali 2000.........
uliogopa hesabu za maumbo shuleni nilichoandika ndio aplication yake kwenye maishaMkuu nakushukuru sana aisee! Hii imekaa poa sana
Ni kweli ila inaweza na ugeni wa haya mambo ndo maana ila nadhani Bora atafutr fundi was huko huko aliko huu ushauri wa mtandaoni unataka mtu mwenye A, B, C za ujenzi angalau kidogoHuyu jamaa aivyokujibu inaonesha ni watu ambao ni slow learner alafu hataki kuisumbua akili kuelewa yeye itakavyo kaa atajibu